
Entrepreneurship Challenge 2021 at Stanbic Bank Tanzania ( Win 5 Million Tshs Cash Prize ). Stanbic Bank Tanzania Entrepreneurship Challenge 2021 ( Win 5 Million Tshs Cash Prize ).
Stanbic Bank Tanzania Entrepreneurship Challenge 2021 ( Win 5 Million Tshs )
We are proud to be part of Africa’s largest banking group by assets, Standard Bank Group. Our operations in Tanzania empower the financial success of both the people and businesses that bank with us.
Stanbic Bank Tanzania is launching an exciting business competition targeting small and medium enterprises (SMEs). The bank is specifically on the lookout for unique and innovative businesses/entrepreneurs that improve the sustainable development and well–being of local communities.
Mimi naanza kufuga Kuku wa mayai na nyama (broilers) ,nategemea kupata vifaranga vya kuku wa mayai kwanza kutokana na uhaba wa mtaji. Baadae nitaendelea na aina zote za kuku , asante.
Ufugaji wa kuku na Bustan ya mbogamboga na matunda hivi ni vitu vinaendana.
1-kuku wakila mboga na matunda watatoa mayai au vifaranga vyenye afya
2- mavi ya kuku kwajili ya kurutubisha ardhi . Eneo ninalo la kutosha shida ni mtaji mwaweza nitembelea nipo Laela mkoa wa Rukwa namba 0764313737
Mimi mwanafunzi wa mwaka wakwanza chuo kikuu cha Dar es saalam nafanya kazi ya kuuza t-shirts za round collar chuo kikuu cha Dar es saalam, nazito kiwanda cha nguo cha Moe morogoro.
Mpango wangu ni kupata mtaji utakao niwezesha kufungua duka la nguo huko kijijini kwetu kwa kuzinunua(kulangua) kariakoo na kuziagiza nyumbani kutokana na uhitaji na uhaba wa maduka ya nguo pia unafuu wa bei kulangulia kariakoo. Santeni ntafurahi kama ntafanikiwa.
Mimi nipo chuo kikuu cha Mwenge (Moshi) Mwaka wa tatu
Wazo langu kuanzisha ufungaji wa kuku wa mayai hasa wa kienyeji. Pia kutoa ajira kwa wezangu mfano mayai nitawapa vijana wanao pika chipsi.Eneo langu litakuwa Marangu.
Mimi nipo chuo kikuu cha Mwenge (Moshi) Mwaka wa tatu
Wazo langu kuanzisha ufungaji wa kuku wa mayai hasa wa kienyeji. Pia kutoa ajira kwa wezangu mfano mayai nitawapa vijana wanao pika chipsi.Eneo langu litakuwa Marangu. Namba yangu 0621078207
Asante mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu cha dar es salaam najishughulisha na sanaa na ubunifu (designer) nina kipaj naitaj kukikuza sina mtaji naomba kusaidiwa kwa sasa ni mtengenezaji mkubwa wa michoro ya picha na msanii wa mavazi kwa jumla ila naomb mdaada wa mtaji plan yang ni kuwa designer mkubwa Africa na nje
Asante Mimi paisficius prospa nini diploma ya uhasibu nimeanzisha mradi wa kuku wa mayai na wa nyama japo changamoto kubwa ni mtaji na ndoto ya kuwa mfugaji wa kuku Bora Africa kwa sasa nimeanza na mtajiwa 500,000 ambayo nimeandaa banda na kuku kumi naomba saport niweze kufikia malengo
Nitashukuru iwapo ombi langu litapokelewa
Mawasiliano 0767779993,0621552498
Asant Mimi mhitimu wa stashahada ya uhasibu 2018 kwa Sasa ni mjasiliamali mdogo mdogo japo nilikuwa na mpango wa biashara ya mradi wa ufugaj wa samaki wa maji laini au maji yasiyo ya chumvu
Hatua nilizofikia eneo la kuchimba visima au madimbwi ya samaki nimeshanunua changamoto ni fedha ya kuleta vifaranga vyasamaki kuchimba madimbwi na ununuza wa vyakula vya samaki hivyo ningepata ufadhili wa milion 10,000,000 chochote kitachopatikana ningejikongoja ndani ya mwaka huu nikaanza hatua za ufugaji
Napatikana kagera ngara
Mawasiliano 0767779993